Inaonekana biashara ya vyuma chakavu bado haijaingia eneo hili au haina soko. Unafikiria nini rafiki iwapo pikipiki kama hii itawekwa vibaya maeneo ya huku bongo?
Hellow hi!
Naitwa Emmanuel James, ni mkazi wa eneo la Ubungo hapahapa jijini Dar. Nimezaliwa mnamo tarehe 29/01/1985 katika hospitali ya mkoa wa Dodoma.
Kwa sasa ninaishi eneo la Ubungo (river side) katika wilaya ya Kinondoni. Sijaoa, sina mchumba wala girlfriend. Ikiwa unahitaji kuwasiliana nami, tafadhali tumia anuani hii emmanueljames18@yahoo.com au emmanuel@james.com au emmanueljms1@gmail.com